carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hiyo yenyewe ni summaryUkipata muda utaniwekea summary.
Hahahahaaha[emoji3] [emoji3] [emoji3]Itabidi unikague tu kwa kweli, sina hiana mimi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ....Hiyo dash dash naijua sana.
Mwenyewe nina mpango wa kuwa nayo... Kwa matumizi muhimu tu..
Likes zinaendelea kutolewa
Hahahaha[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Ndiyo mkuu.
[emoji3] [emoji3]Ameamua kuja na lijimoto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Basi utanisimuliaHiyo yenyewe ni summary
Mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mtoto wa kiume kama wiki moja,mbili zinapita hauja umwa kichwa una matatizo. Maisha ya sasa ni ya kupigana kwa akili na nguvu inapo hitajika.
Ukiona kichwa kinauma sana,chukua vipimo hospitali na uwe na muda wa kujichanganya na vijana wafyatua matofari/boda boda. Wana plan nzuri sana za maisha.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Zina ndevu.
Mimi mwenyewe nataka kumtoa huyo hapo jamaa. Ananidhalilisha tu
Hahahahaha muhogo wa jang'ombe unakula unavyoweza[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwani unamezwa au unamumunywa??? Mnanikonfyuzi bwanaaaa...
Hahaha hahahaha, mkuu unachoshwa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125] Unamezwa na kutemwa,unameza tena...unatema kidogo..
Usinichoshe...