Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuamini nyakati ngumu ndio huko sasa. unaweza kukutana na baya ukalaumu, kumbe unaepushwa na jambo lingine baya zaidi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenti weiti
Kama vile kana ubavu. Vimbaumbau kwa kuchimba mikwara hamjambo. Nilikakuta kamoja kule Temeke kwa Aziz Ali kameziba mtaa kanachimba biti. Kuuliza watu kwa nini hawakazabi vibao kakatulia jamaa mmoja akanijibu "Tunaogopa madakesi kaka. Haka ukikazaba kofi la nguvu unafikiri katasavaivu kweli?". Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nitakuwa mwanafunzi wako
Kuna kipindi mwanafunzi alikataa kwenda kufundishwa na mwalimu machachari mwenye darasa lenye maua na muziki laini wa Kihindi. Kama ticha tena mnoko kabisa kabisa siamini kama utakuwa mwanafunzi mzuri kulingana na staili yangu ya utundishaji na nonsense approach. Fikiria vizuri kabla hujajiandikisha na kulipa ada. Darasa langu mnaweza kuanza wanafunzi mia lakini mmoja pekee ndo anaweza kufaulu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nguvu yetu iko mdomoni brathee
 
Kuna kipindi mwanafunzi alikataa kwenda kufundishwa na mwalimu machachari mwenye darasa lenye maua na muziki laini wa Kihindi. Kama ticha tena mnoko kabisa kabisa siamini kama utakuwa mwanafunzi mzuri kulingana na staili yangu ya utundishaji na nonsense approach. Fikiria vizuri kabla hujajiandikisha na kulipa ada. Darasa langu mnaweza kuanza wanafunzi mia lakini mmoja pekee ndo anaweza kufaulu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Misungwi hia ai kamuu[emoji23][emoji23][emoji23]mwalimu jiandae kukimbia darasa
 
IMG_20180606_215556_165.jpeg
 
Mlo Bora Kwa Mama Mjamzito

Kwa ajili ya afya ya mama na mtoto ni muhimu sana mwanamke apate chakula bora. Ukosekanaji wa chakula bora kunaweza kukasababisha mtoto kuzaliwa kabla ya mda wake au na uzito mdogo ambao unaweza ukachangia katika kuzuia ukuaji wa ubongo na mwili kwa ujumla.
 
Na endapo mama mjamzito atakosa mlo bora uliombatana na protini anaweza akapata anaemia, infection, matatizo katika placenta, matatizo katika labor, c-section(kuzaa kwa upasuaji wakati wa kujifungua), kutokupona kwa haraka, matatizo katika kunyonyesha, toxemia na pre-eclempisa(haya ni magonjwa yanayosababishwa na maini kutoweza kufanya kazi yake vizuri
 
Back
Top Bottom