Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1. Maziwa na vyakula vya jamii ya maziwa:
Glasi nne au zaidi ya maziwa ya aina yoyote pamoja na/au vyakula vyenye jamii ya maziwa kama jibini, mtindi,siagi, ice cream. Maziwa ni muhimu kwa protein, calcium, vitamins na virutubisho vingi. Vitasaidia ukuaji wa mifupa, misuli na nerves. Ni muhimu kwa damu yenye afya, kusaidia usingizi na kusawazisha mapigo ya moyo.
 
Mboga za majani.
Spinach, cabbage, collard greends, mchicha, matembele. Mboga hizi ziwe fresh na zile zenye rangi ya kijani iliyokolea(hizi ndio zenye virutubisho vya kutosha). Mboga hizi zitakupa Vitamin A na B, pia virutubisho vitakavyosaidia mwili kuabsorb protein ya kutosha, ukuaji wa mwili, na utengenezaji wa damu. Kutopata mboga za kutosha kunaweza sababisha mama kupata anemia.
 
Vyakula vyenye vitamin C.
Kipande kimoja au viwili vya machungwa au juisi ya ndimu, machungwa, nyanya. Vitamin C itasaidia uterus kuwa na nguvu ya kutosha ili kufanya kazi vizuri wakati wa labor, pia itasaidia kulinda mwili na infection na kusaidia kuabsorb iron kwenye mwili.
 
Maji ya kunywa.
Kunywa maji mengi ya kutosha. Maji huchangia kwa asilimia 75 ya uzito wa mtoto wako atakapozaliwa. Usipopata maji ya kutosha utaishiwa na nguvu kwa asilimia 20 na kupata matatizo ya dehydration na kichwa kuuma.
 
Tumia chumvi kiasi.
Chumvi kusaidia kuzunguka kwa damu kutoka mwilini kwenda kwenye placenta. Kutopata chumvi ya kutosha kunaweza kusababisha miguu kuuma na uchovu.
Kwenye sehemu ya pili tutaongelea virutubisho kadhaa na umuhimu wake kwa mama mjamzito na mtoto. Ila kumbuka utumiaji wa chumvi kwa wingi una madhara kiafya.
 
Zinanikumbusha enzi zile, kulikuwa na swali....................Anakatwa au hakatwi? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Halafu kweli akakatwa. Wakati ule wanaharakati wetu hawajaanza kazi ya kumsafisha. Siasa zina raha yake wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
tapatalk_1483530224004.jpeg
 
Mara nyingi tumekuwa tukiamini kwamba kama huna kila kitu kwa sasa, ni tatizo. Wakati mwingine unaweza kujihisi kama umepigwa kichwani na kila baya na kuona kama umetupwa nje ya ulimwengu. ukweli ni kwamba-na inachukua nguvu kupata haya mawazo-Kila kitu katika maisha kipo hapa kutuokoa ili tuwe watu bora. ingawa sio kuwa wakamilifu, ila kwa ubora ule tutakaokuwa nao.
 
Niliwahi kukutana na” jaribu ” na liliniogopesha sana .Nikaja kuelewa kuwa kila kitu kinachotokea kwetu kina sababu.lakini jaribu hili lilikuwa na changamoto na lilichukua muda mwingi.niliumia kihisia.
 
Ilitokea katika njia yangu, mama mmoja ambaye alikuwa akienda kwenye clinic ya maumivu kila mara. ingawa maumivu yangu hayakuwa ya kimwili, alikuwa na neno sahihi la kunitia moyo.lakini alinipa zaidi. tulipokuwa tukiongea kuhusu hali halisi, nilimtazama na kumuuliza swali, ” kwa hio ilitokeaje haya yote? ” alinitazama kama vile nimemuuliza 2+2 na alijibu kwa urahisi tu ” ili uweze kukua!”
 
Kukua sio kitu ambacho ni comfortable kwa kila mtu. ndio maana tunasikia kuhusu ” kukua kwa maumivu”ukiwa umekua bila maumivu, unaweza kwenda kwa ulaini sana. lakini haina maana kwamba umekaa na kukubali kila kinachotokea bila ya kufanya mabadiliko wakati nyakati ngumu zinapopiga.
 
Kundi la vyura walikuwa wanacheza siku moja wakati wa jua, wakati wanaruka ruka chura moja akangukia shimoni. akaanza kuita msaada” help, help!” alilia huku akijaribu kuruka ili atoke juu. rafiki zake wakazunguka na kumsihi aruke juu zaidi, lakini alikuwa chini sana . walichanganyikiwa watawezaje kumtoa mwenzao.
 
Back
Top Bottom