[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kila mtu na mtuwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiii View attachment 796180
Kweli tupu !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiii View attachment 796180
Kama vile kana ubavu. Vimbaumbau kwa kuchimba mikwara hamjambo. Nilikakuta kamoja kule Temeke kwa Aziz Ali kameziba mtaa kanachimba biti. Kuuliza watu kwa nini hawakazabi vibao kakatulia jamaa mmoja akanijibu "Tunaogopa madakesi kaka. Haka ukikazaba kofi la nguvu unafikiri katasavaivu kweli?". Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenti weiti
Kuna kipindi mwanafunzi alikataa kwenda kufundishwa na mwalimu machachari mwenye darasa lenye maua na muziki laini wa Kihindi. Kama ticha tena mnoko kabisa kabisa siamini kama utakuwa mwanafunzi mzuri kulingana na staili yangu ya utundishaji na nonsense approach. Fikiria vizuri kabla hujajiandikisha na kulipa ada. Darasa langu mnaweza kuanza wanafunzi mia lakini mmoja pekee ndo anaweza kufaulu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nitakuwa mwanafunzi wako
Namjua mmoja wa hivi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]View attachment 796151
Andjul
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 796163
Numby ng'wanamashikolomageni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji109]Numby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nguvu yetu iko mdomoni bratheeKama vile kana ubavu. Vimbaumbau kwa kuchimba mikwara hamjambo. Nilikakuta kamoja kule Temeke kwa Aziz Ali kameziba mtaa kanachimba biti. Kuuliza watu kwa nini hawakazabi vibao kakatulia jamaa mmoja akanijibu "Tunaogopa madakesi kaka. Haka ukikazaba kofi la nguvu unafikiri katasavaivu kweli?". Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ugomvi tuNamjua mmoja wa hivi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Misungwi hia ai kamuu[emoji23][emoji23][emoji23]mwalimu jiandae kukimbia darasaKuna kipindi mwanafunzi alikataa kwenda kufundishwa na mwalimu machachari mwenye darasa lenye maua na muziki laini wa Kihindi. Kama ticha tena mnoko kabisa kabisa siamini kama utakuwa mwanafunzi mzuri kulingana na staili yangu ya utundishaji na nonsense approach. Fikiria vizuri kabla hujajiandikisha na kulipa ada. Darasa langu mnaweza kuanza wanafunzi mia lakini mmoja pekee ndo anaweza kufaulu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]