Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,463
Mmhhh, Gender usawa...! Damn itWapenda usawa
Aina ya pili inayohitajika katika ulimwengu wa kimahusiano ni wanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu ya kifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenye uwezo wa kuongoza jamii kwa asilimia 50 kwa 50.
Oooooh!Bro unasumbuka tu kumuelezea khs Spinks, mwenzio haelewi hapo,,, halafu anajiita mhenga [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake waliosemea sheria,,, dah wanamsimamo hawa,,, zile sheria wanataka ziapply hadi kwenye maisha ya kila siku!Wenye msimamo
Wanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio.
Huyo atakuwa MSAFWA si bure..Hao ni shwaini kabisa.Wapo team na mawakala,wamepiga hela Mbeya,wameitolea Mbeya ila kwa muda huo wakawa wanasomeka Sinza
[emoji818] kwani kuna shida mkuu kama sifa zipo mkuu amna tatizo coz napenda mwanamke anayefikiri tofauti katika ulimwengu huu sio kusengenya tu kutoka asubuhi hadi jioni.....
Inasemekana ndiyo wanaongoza kwa kuwa singo mazaziWanawake waliosemea sheria,,, dah wanamsimamo hawa,,, zile sheria wanataka ziapply hadi kwenye maisha ya kila siku!
8 8Mbona kama yanazidi aisee! Hahahahaha lol
Inabore sana.Hata mimi ilikuwa inanitokea hiyo kwenye browser. Hovyo sana !!!
Hapana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kutoka MwakaleliDuh !!!
Alikuwa ndo kadondoka laivu kutoka Mwakaleli au? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Duh!!Hapana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kutoka Mwakaleli
Mfanya kazi wake kwenye kibanda cha M-PESA ndo alipigwa na vijana wanao sajili sim card. Waliidukua namba na jina,wakabadilisha namba jina likabaki la boss(rafiki yangu) wake. Wakaanza kumtumia sms za kumwambia aingize hela kwenye namba hizi... Jina la kwenye sms likawa la boss wake.
Achana nae huyo shwaini zake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]