Hahahaha[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Hahahaha
Get Your Freak On- Missy Elliot Numbisa[emoji23] [emoji23] sasa tusipokurukia nane atakurukia jaman,tena tunaruka kimahesabu tusije mwaga juisi za watu
Za jumapili salama kabisa,bibi hajambo huko?
Ahsante sana dadaangu,tuwe wapya kuanzia sasa,Natamani tushikane mikono kwa furaha @Numbisa,SHIMBA YA BUYENZE, @carba,@BAK,Kichwa Kichafu na wengine wote.View attachment 799432
Jamani
This is so beautiful walahi!
Ni vema na haki!
Ignore list imetoweka, Asante sana!
Leo ni "li-ledada"[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
No girls should come between me and my footballMwenzenu anapanga mashambulizi
View attachment 799433
Yeeeap!
Ahsante sana dadaangu,tuwe wapya kuanzia sasa,Natamani tushikane mikono kwa furaha @Numbisa,SHIMBA YA BUYENZE, @carba,@BAK,Kichwa Kichafu na wengine wote.
Jumapili iwe njema kwetu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Yaani shemeji ukituliza akili unaongea madini matupu.Kama una maanisha mama yangu ubarikiwe sana[emoji120] [emoji120]
Bado siku sita tu tukamilishe mwaka tangu tukutane kwenye uzi huu,tumeishi kama familia moja kwa kipindi chote hiki.
Tumepishana kwa maandiko yetu hadi tukafikia kununiana humu (mimi na Shimba kwa picha ya beach ya msukuma, mimi na Yegomasika kisa jina andaeitini, Shimba na ISIS kisa siasa,Numbisa na BAK kisa siasa,Shimba na BAK kisa siasa, carba Numbisa na ISIS nadhani ni siasa,n.k.) na wengine tukaya maliza mapema kabisa maisha yanaendelea. Mimi niliwahi kukuita Me kwa mwandiko wako niliouona siasani,ulivyo nielewesha nikaomba msamaha maisha yakaendelea.
Ahsante Numbisa kwa kumdhibiti "binti" yetu Aleyn kwa zile lugha zake za ujana siku za mwanzo wa uzi huu,lasivyo tusingekuwa hapa kwa mtazamo wangu.
Niseme tu ukweli, na minywele yangu mieupe kila mahali ilipo bahatika kuota,najiona bado ni kijana sana ninapo piga stori na vijana wangu humu,nafarijika sana tena sana. Nataniwa kupitiliza,lakini ndio maisha,kucheka ndio afya yetu.
Nakuomba mama yangu, usimshirikishe mzee wa liver kwa hili,"watoe vijana wako kwenye ignore list" tuanze maisha mapya.
Wewe ni mzee mwenzangu, tudumishe upendo kwa kuishi na vijana wetu kwa akili.
Leo ni jumapili, naona NGUVU YA MSAMAHA kutoka kwa Mungu kupitia kwa dada yangu ISIS inaenda kutimia kwetu sote.View attachment 799423
Tumetoka mbali saana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mzee sio kabisa...Aki tena.
Sahihi kabisa.No girls should come between me and my football
Kwa hiyo sawa tu [emoji23]