[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki tena, hivi nilikuwa najua ni mawenge yangu.
Makaksi waleWagumu wa aina gani wanaongelewa hapa?
Sema kuna moja huyo ana akili kweli na amejua wanategea ageukie kibra wazee washushe kisu....Hahaha wamebaki wawili wacha tusubiri
Asante mkuu. Tumshukuru Mungu kwa kutukutanisha tena...Hahahaha, wazee wa NFL na NBA waache tu.
Wale wanaweza hata wasijue hata soccer linakuwa na wachezaji wangapi...
NB: Mkuu its good to see you again
Kwema kabisa bro. Ulipotea jumla hata kwenye usinia vileja sikukuona. Nafurahi kuwa tumerudi hapa tena. Asante broKwema bro?