Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Miwgulu hana Political Base kubwa chamani wala Serikalini kama Nape, ndani ya miaka miwili hivi atasahaulika kabisa.Aende huko kwingine akagombee uraisi 2020 kama watamkubalia japo ana mzigo. Mambo mengi yasiyopendeza yametokea chini ya uangalizi wake pale wizarani. Au ajiunge na akina Nape, Bashe na group lao wawashe moto wa kimapinduzi chamani
Salama mkuu..kwako je?Mkuu myoyambendi niaje
KweliMiwgulu hana Political Base kubwa chamani wala Serikalini kama Nape, ndani ya miaka miwili hivi atasahaulika kabisa.
Wanaomfahamu tabia yake basi watajua kwamba huyu jamaa kapigwa vibaya sana, tena panapouma.
Hahahafrom senior villager to expert member
Hahaha hatari sanaHahaha lazma ujihami mkuu,, unaweza kuta imepotea
Kutumia Browser changamotoSikuwepo. Nilikuwa napita pita tu kama mgeni. Wangekuwa na app bila shaka ningeukwaa usinia vileja [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu American football inachezwa kwao tuYaani Marekani soka ni zero kabisa. Hata huwezi jua kuna kombe la dunia. Wanasubiri mwezi wa tisa waanze ile football yao ambayo kimsingi ni Rugby (ya kuvaa kinga)