Messi, Ronardo, Mwigulu...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ni fire[emoji91] [emoji91]
Watu wana manenoEver noticed that Black people who buy bottled water always think they have made it in Life?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MALKIA za siku mkuuRip Ismail Kaanga
NOMA SANA[emoji91]Tumerudi kishujaa...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]My boy let's go back to our laliga these boys are very stubborn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 800338
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nchemba naye alikuwa Russia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Udikteta wa dikteta wa ukanda huu..Mamlaka nchini Rwanda zimeuza mali ya familia ya mwanasiasa aliye kizuizini ambaye pia ni mkosoaji mkuwa wa Rais Paul Kagame.
Siasa za kipuuzi sanaHalmashauri ya kukusanya ushuru nchini Rwanda iliuza mashine kutoka kwa biashara ya familia ya tumbaku kwa takriban dola milioni 2 katika hatua ya kulipia kodi familia hiyo inaripotiwa kudaiwa ya dola milioni 7.
Bi Rwigara na mtetesi maarufu wa haki za wanawake nchini Rwanda na familia yake inasema matatizo yake yalianza wakati aliamua kuwania urais.