Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu mmegonga likes kinoma usiku kucha kweli mlimiss hii kitu

[emoji3] [emoji3] [emoji3] mambo ni
tapatalk_1528304025352.jpeg
 
38 Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino;

Mathayo 5 :38

39 Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili.

Mathayo 5 :39

40 Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.

Mathayo 5 :40

41 Na mtu atakayekulazimisha mwendo wa maili moja, nenda naye mbili.

Mathayo 5 :41

42 Akuombaye, mpe; naye atakaye kukopa kwako, usimpe kisogo.

Mathayo 5 :42

43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;

Mathayo 5 :43

44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

Mathayo 5 :44

45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.

Mathayo 5 :45

46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?

Mathayo 5 :46

47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?

Mathayo 5 :47

48 Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 
Ladha ineongezeka kutokana na mabadiliko ya mchezo wa soka kuzinyanyua nchi kama Croatia, Ubelgiji na Urusi ambazo hazijawahi kutwaa ubingwa wa Dunia. Ningetamani kombe liende kwenye nchi nyingine ambayo haijawahi kutwaa ubingwa huo
Russia kuchukua kombe kutaharibu kabisa ladha ya soka duniani kwa soka gani mpka wachukue ndoo
Semi final yenyewe shida
 
Back
Top Bottom