mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mtu wa Marree: Ni nani aliyemchora mtu huyu mwenye urefu wa kilomita 4.2
Akileta huo ujinga watafungwa leo
Upendo + mapenzi + wapendanao + furaha + Amani = RAHA TUPU.[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji666] DARASA LA MAPENZI
[emoji673]SEHEMU YA KWANZA.
MAPENI ni nini ? Na MPENZI ni nani ?
Mapenzi si neno geni masikioni mwako ,Mapenzi ni neno ambalo utalisikia kila siku jua linapochomoza na kisha kuchwea na giza kushika hatamu.
-Kila kukicha nyimbo nyingi zimekuwa zikitungwa na kuimbwa na waimbaji mahili walio maarufu na chipukizi pia . Lakini vile vile watunzi wa hadithi nao hawako nyuma katika utunzi wa hadithi nzuri na taamu juu ya mapenzi.
-Lakini pia tumeona visa na mikasa vya mapenzi kila siku maeneo yanayotuzunguka pia kupitia vyombo vya habari k.v Televisheni, Instagram, Whatsapp na kusikia kupitia vipindi vya Redio.
(Je ! MAPENZI ni nini ? Na kwa nini yachukue sura mpya kila siku ktk maisha yetu ? )
[emoji660] Hili ni swali ambalo inatupasa kujiuliza sana ktk fikra zetu.
[emoji670] MAPENZI ni tungo iliyotoka kwenye jina
[emoji1197][emoji1091]
UPENDO ni nini ?
Kama utapenda kuendelea kupata darasa hili gonga like na comment
Oooh!Sijui karudi Vietnam