mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
"Yeyote aliyechora mstari huo aliweka alama ya skewers katika kila mita 10," bwana Turner aliiambia BBC.
kweli...Wiki hii inaadhimisha miaka 20 tangu rubani wa ndege aina ya helikopta aliyekuwa katika anga ya Australia kuona picha kubwa ya mtu aliyekuwa amechorwa katika ardhi.
KabisaUpendo + mapenzi + wapendanao + furaha + Amani = RAHA TUPU.[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]