Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 800738[emoji24][emoji24]usikumbushe machungu

Huu ndiyo ulikuwa mwanzo wa kuvurugika kwa ule mchezo
tapatalk_1527533735280.jpeg
tapatalk_1527419768378.jpeg
na huyo bishololo akaongeza tatizo zaidi
 
[emoji666] DARASA LA MAPENZI

[emoji673]SEHEMU YA KWANZA.

MAPENI ni nini ? Na MPENZI ni nani ?

Mapenzi si neno geni masikioni mwako ,Mapenzi ni neno ambalo utalisikia kila siku jua linapochomoza na kisha kuchwea na giza kushika hatamu.

-Kila kukicha nyimbo nyingi zimekuwa zikitungwa na kuimbwa na waimbaji mahili walio maarufu na chipukizi pia . Lakini vile vile watunzi wa hadithi nao hawako nyuma katika utunzi wa hadithi nzuri na taamu juu ya mapenzi.

-Lakini pia tumeona visa na mikasa vya mapenzi kila siku maeneo yanayotuzunguka pia kupitia vyombo vya habari k.v Televisheni, Instagram, Whatsapp na kusikia kupitia vipindi vya Redio.

(Je ! MAPENZI ni nini ? Na kwa nini yachukue sura mpya kila siku ktk maisha yetu ? )

[emoji660] Hili ni swali ambalo inatupasa kujiuliza sana ktk fikra zetu.

[emoji670] MAPENZI ni tungo iliyotoka kwenye jina

[emoji1197][emoji1091]

UPENDO ni nini ?

Kama utapenda kuendelea kupata darasa hili gonga like na comment
 
Back
Top Bottom