[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Zipo kibaoKumbe likes bado zipo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna siku hawatamuona. Utamuona kwenye news...
Usimuogope mtu kwa jina au sura yake, ziangalie tabia zake yeye binafsiKuna watu wanajua kuvuruga, ukisikia jina lake tu unajitayarisha kuchanja mbuga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..
cc.ledada
Wapenzi wasomaji na wagonga likes...[emoji3] [emoji3] [emoji3]Watazamaji
Hata wewe shemeji!!!Andaeitini bana
KaribuHapo tutapishana nitakuja Town tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji91] [emoji91]Usiku wa pipi in myoya voice
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mpaka sasa umeshahama ngapi?Nasisitiza tena *"Hii World Cup ntahama Timu hadi napata kombe"*
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]*kuna mdada huku kwetu alimuwekea MUME..wake* *LIMBWATA kwenye chakula ..KWA bahati mbaya PANYA wamekula chakula chote..*
*SAIVI PANYA WANAMFATA YULE MDADA HUKU WANATABASAMU.*[emoji32]
[emoji3] [emoji3] Chura anaruka ruka churaa.. By Snura*Ukifuata ya vijana upuuzi 2*
*Mana siku hz* *wanapenda*
*CHURA kuliko hata* *SAMAKI*
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Akili za wenye bucha bhana wanazijua wenyewe.
mfupa alioukata yeye kwa shoka anataka mimi nikautafune kwa meno.
[emoji23][emoji23][emoji23]
AseeeMkazi mmoja wa jijini Mwanza, Justin Emmanuel amefikishwa Mahakama ya Wilaya Misungwi, kwa tuhuma za kutoa lugha chafu dhidi ya Rais. Emmanuel anatuhumiwa kutenda kosa hilo June 25 mwaka huu, katika Kivuko cha Kamanga majira ya saa 10:00 jioni, ambapo anadaiwa kutoa lugha ya kumdhihaki Rais kwa kusema “Kwani Rais kitu gani bwana?”
[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Mawakili wa serikali warudi Law school. Kwani Rais kitu gani bwana???
Siasa, sihasa kabisaMSAJILI ALIYESIMAMISHWA KAZI NA MWIGULU KWA KUANDIKA BARUA INAYODHALILISHA MAASKOFU, ARUDISHWA KAZINI.
Msajili wa taasisi za kiraia na vyama vya hiari wa Wizara ya mambo ya ndani Bi.Merlin Komba, ambaye alisimamishwa kazi na Waziri Mwigulu Nchemba wiki chache zilizopita kufuatia msajili huyo kuandika barua kwa kanisa la KKKT kutaka lifute waraka wake wa pasaka, amerudishwa kazini.
Waziri Mwigulu alisema barua hiyo kwenda KKKT iliandikwa na "wahuni" waliokuwa na lengo la kuhatarisha amani ya nchi. Hata hivyo baadae Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alieleza kuwa barua hiyo iliandikwa kwa maelekezo ya Ikulu, na kwamba kitendo cha Mwigulu kumsimamisha kazi Bi.Komba kingewwza kumuondoa katika nafasi yake ya uwaziri.
Siku moja tu baada ya Waziri mpya wa mambo ya ndani Kangi Lugola kuapishwa hapo jana, Bi.Merlin Komba amerudishwa kazini. Hata hivyo Lugola amekataa kusema ni nani aliyemrudisha kazini Msajili huyo, na kwa utaratibu gani. Pichani ni Waziri Lugola akisalimiana na msajili huyo na baadhi ya watumishi wengine wa wizara hiyo.
Nini maoni yako?
Duuu hapa tulipo tumeshachoka..[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
cc.AndjulView attachment 801948
Safi kabisa, kumbuka tukio la Wenger na Nwanko KanuMwaka 2003, katika mechi ya kimataifa kati Dernmark na Iran, mchezaji wa Iran alisikia sauti ya filimbi kutoka kwa mashabiki, akaukamata mpira kwa mkono akidhani kwamba Mwamuzi amepiga kipyenga cha mapumziko. Mwamuzi akaamua iwe penalt. Kocha wa Dernmark Morten Olsen akamwita mchezaji aliyetakiwa kupiga penati hiyo Motern Weighorst na kumwagizz akose hiyo penati kwa sababu mchezaji wa Iran hakukusudia kuunawa mpira. Weighorst akapiga nje makusudi na kuikosesha timu yake licha ya kwamba ingewasaidia kusawazisha kwa kuwa walikuwa nyuma kwa bao 1-0. Hata hivyo kamati ya Olympic ilimtunuku Weighorst tuzo ya mchezaji bora katika Fair play. Nini maoni yako? Credits: [HASHTAG]#Fahamuazaidi[/HASHTAG]
Ndiyo washapita hivyo..Sidhani kama watapita kwenye matuta
Dogo janja, andaeitini hujambo kijanaHata wewe shemeji!!!