moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji109] [emoji109]Hahaha Mimi mzima nimefurahi tumeanza kuonana tena, maana wahenga wanasema. Salamu ni nusu ya kuonana.
[emoji109] [emoji109]Hahaha Mimi mzima nimefurahi tumeanza kuonana tena, maana wahenga wanasema. Salamu ni nusu ya kuonana.
Akija nishtueHivi wewe Jembekillo umepotelea wapi njoo nina maswali ya kukuuliza.
Njema, za kuamkaSalama kabisa mzee wa pwani. Habari ya majukumu?
Morning mpendwaMorning wapendwa wa Mungu
Asubuhi njemaAsubuhi tulivu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bee maa, mambo!?Wewe
Umeona nini?Aisee