Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jenga nidhamu na tabia ya kushikamana na kitu ulichoanza mpaka ufikie mwisho wake.
Ni vizuri kuwa na malengo ila malengo hayo kama hutakuwa na nidhamu ya ustahimilivu yatakuwa ni bure kwako kwani hutafanikiwa katika jambo lolote.‘’Discipline is the bridge between goals and accomplishment.’’ –Jim Rohn. Katika kuyaendea malengo yako utakutana na changamoto au vikwazo vingi sana, ni nidhamu ya ustahimilivu pekee ndio itakayo kufanya uendelee kudumu katika kufuata malengo yako ama sivyo unaweza kutetereka na kujikuta upo mbali na malengo uliyojiwekea na kushindwa kufanikiwa.