Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji120][emoji120][emoji120], na tuseme AmenNi kweli ngole wa Ntuzu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji120][emoji120][emoji120], na tuseme AmenNi kweli ngole wa Ntuzu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Haswaaaa! Yameshanikuta[emoji23][emoji23]Uzi huu ni mtambo wa kukoraputi fikra za watu. Yu kani grajueti nao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na wewe yanakusumbuaga jirani? Nakuonaga kama ni mmoja wa wale ambao walishayawezea kabisa kabisa. Kwamba ni kumumunya tu, kuwa humble na kudumisha amani na upendo...maisha haya, acheni tu
Huko tunasema ni kufa kwa kujitakia.Huyu naye. Akiteleza hapo itakuwaje?
Na wazungu wanapenda sana...They always dare to dare...Huko tunasema ni kufa kwa kujitakia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kumumunya/kumumunywa kunasahaulisha shida kwa muda tu. Shida ziko palepaleNa wewe yanakusumbuaga jirani? Nakuonaga kama ni mmoja wa wale ambao walishayawezea kabisa kabisa. Kwamba ni kumumunya tu, kuwa humble na kudumisha amani na upendo...
Amen. Hujambo we andaeitini? Za kupotea?[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] View attachment 802410
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]