myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SIKU IMESHIKA KASI
duh!! ajali
kulala hapo inataka moyo
ukuta mkuu..
maisha haya, acheni tu
Eti mapya kumbe mazee na mengine hayajaandikwa hata mwaka yaliyotengenezwa. Wanaume hapo walishavuta mabilioni. Ubinafsi wa kutisha lakini majizi haya ndiyo yanaabudiwa na jamii kwa vile ni matajiri. Waafrika sisi tuna tatizo mahali. Shitholes !!!Mwigulu> Magari 777 ya polisi
Dogo mmoja nadhani alihusika na hii kasheshe. Kashusha ghorofa la kushangaza Arachuga na japo alifukuzwa kazi lakini anasema ana hela za kutosha kula mpaka na wajukuu zake...Mwigulu> Sare hewa za polisi
Upako. Injini leo bariiiiiidiiiii. Safi sana. Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Isaya 59:1
Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka, hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia;
Isaya 62:6
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha BWANA, msiwe na kimya;
Isaya 43:26
Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
Mithali 8:17
Nawapenda wale wanipendao,Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
Isaya 55:6
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana,Mwiteni, maadamu yu karibu.
Huyu naye. Akiteleza hapo itakuwaje?
Mrejesho tutapata au ndo imetoka hiyo?Tunaenda kuona tumboni kwa huyu kiumbe kuna nini hasa[emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 802285
Uzi huu ni mtambo wa kukoraputi fikra za watu. Yu kani grajueti nao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwema kabisa maa, Andjul na wenzie wamenikopisha tabia mbaya sana, kila nikiona picha yenye utata nawaza midabuo..[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], siku hazifananiUpako. Injini leo bariiiiiidiiiii. Safi sana. Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mungu katupa kila kitu bro. Haraka ya nini?NO HURRY IN AFRICA
Ni kweli ngole wa Ntuzu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], siku hazifanani
Duh!Dogo mmoja nadhani alihusika na hii kasheshe. Kashusha ghorofa la kushangaza Arachuga na japo alifukuzwa kazi lakini anasema ana hela za kutosha kula mpaka na wajukuu zake...