Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Afadhali kwa kweli....
[emoji445][emoji443][emoji444]Tembea na Yesu tembea.
Kazini kwako tembea na Yesu tembea
Nyumbani kwako tembea na Yesu tembea
Hata safarini tembea....[emoji445][emoji444][emoji443]
Belgium, Uruguay, Croatia, Sweden [emoji23][emoji125]Watu wa mikeka; nani ataibuka kidedea hapa?
View attachment 802448
Ndiyo Afrika hiyoEti mapya kumbe mazee na mengine hayajaandikwa hata mwaka yaliyotengenezwa. Wanaume hapo walishavuta mabilioni. Ubinafsi wa kutisha lakini majizi haya ndiyo yanaabudiwa na jamii kwa vile ni matajiri. Waafrika sisi tuna tatizo mahali. Shitholes !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ipo siku naye atadakwa tuDogo mmoja nadhani alihusika na hii kasheshe. Kashusha ghorofa la kushangaza Arachuga na japo alifukuzwa kazi lakini anasema ana hela za kutosha kula mpaka na wajukuu zake...
France winWatu wa mikeka; nani ataibuka kidedea hapa?
View attachment 802448
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mrejesho tutapata au ndo imetoka hiyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huo mkeka ungechanika kweupe kabisaBelgium, Uruguay, Croatia, Sweden [emoji23][emoji125]
Utatandaza mkeka?France win
Brazil win
England win
Croatia win
Ngole? Nini maana ya ngole mkuuNi kweli ngole wa Ntuzu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu mkeka hauchaniki trust me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huo mkeka ungechanika kweupe kabisa
Sichezagi michezo ya hatari mimi...Kwanza dhambiUtatandaza mkeka?
Usije tu ukaanza kuhaha kama Mzee wa Liver siku ile Vijapan vimechachamaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kumumunya/kumumunywa kunasahaulisha shida kwa muda tu. Shida ziko palepale
Huyo Sweden ndo ataanza kuroga akifuatiwa na Uruguay[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu mkeka hauchaniki trust me