Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852839566_111185.jpg
 
Ukweli ni kwamba hata uwe na akili namna gani huwezi kujua kila kitu. Vitabu kama hivi vinasaidia kutoa angalau mwanga tu kuhusu jinsi vitu (tata) vinavyofanya kazi. Hata kama vinaongelea maswala mazito ya kisayansi kama nadharia ngumu za Albert Einstein au Black Holes za Hawking, waandishi wamejitahidi kutumia lugha rahisi na mifano bayana kabisa. Navipenda !!!
852840745_108987.jpg
 
Back
Top Bottom