Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ED9F47B1-1D10-4F48-B1D0-F3FE50D67C09.jpeg
 
**Mambo ya walawi**
19:27-28
Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu, msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama mwilini mwenu
* *Mimi ndimi bwana**
 
Watakwambia misheria yote hiyo ishapitwa na wakati na Yesu Aliikanyaga kanyaga yote pale msalabani. Hakuna mtu atakayeikosa mbingu kisa eti alinyoa kiduku, kuharibu pembe za ndevu zake au kujichora tattoo.

Ipo misheria maelfu na kama tunaifuata basi tujaribu kuifuata yote na siyo kuchagua chache na kuacha zingine kama ambavyo Waadventista na Mashahidi wa Jehova hujaribu kufanya...

Moral of the story:: Kama wokovu ungefuata misheria hii hakuna hata mmoja ambaye angeweza kuokoka kwa sababu katika maisha ya kawaida; kuivunja ni lazima.
 
Back
Top Bottom