Aisee. Madaktari inawahusu hii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Uruguay watamtoa Mfaransa Shiro?Belgium, Uruguay, Croatia, Sweden [emoji23][emoji125]
Ndoto ya alnachaUruguay watamtoa Mfaransa Shiro?
Watakwambia misheria yote hiyo ishapitwa na wakati na Yesu Aliikanyaga kanyaga yote pale msalabani. Hakuna mtu atakayeikosa mbingu kisa eti alinyoa kiduku, kuharibu pembe za ndevu zake au kujichora tattoo.**Mambo ya walawi**
19:27-28
Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu, msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama mwilini mwenu
* *Mimi ndimi bwana**
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yawezekana
Watu wa mikeka; nani ataibuka kidedea hapa?
View attachment 802448
Mkuu songa mbele ufikie revo za Lusekelo, Gwajima, Mwingira**Mambo ya walawi**
19:27-28
Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu, msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama mwilini mwenu
* *Mimi ndimi bwana**
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu songa mbele ufikie revo za Lusekelo, Gwajima, Mwingira
India mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] View attachment 802514
India mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] View attachment 802514