Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124]mtoto wa kiume unafanana na mama mzazi? Mtoto wa kiume unagombaniwa na wasichana kwenda "auti"?
Mtoto wa kiume ukiona picha yako inashindishwa kucha kutwa kwenye profile za wasapu za wasichana wako jua wewe ni mrembo tu, ni wa "shoo ofu" yaani kazi kazi hauiwezi, ukiona msichana amekuacha jua alikufuata kwa ajili ya sura uliyo azima kwa mama. Sisi wenye sura ngumu, sura zenye ukavu na zisizo vutia wasichana wanatupendea kitu[emoji121]tu.... Na wasichana hupenda kukutana na "sura ngumu" faragha muda wote na hayupo tayari kukupoteza uende kwa mwingine.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] Nasikia wenye sura kama zetu ni watamu balaa.
 
FB_IMG_1528756759639.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbona kuna wenye sura kama mama zao lakini wanaonekana WATAMU hata kabla ya kuwaonja.....Wanaiweza kazi ##SITAKIMASWALI##
 
Back
Top Bottom