Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji124] [emoji124]mtoto wa kiume unafanana na mama mzazi? Mtoto wa kiume unagombaniwa na wasichana kwenda "auti"?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbona kuna wenye sura kama mama zao lakini wanaonekana WATAMU hata kabla ya kuwaonja.....Wanaiweza kazi ##SITAKIMASWALI##[emoji124] [emoji124]mtoto wa kiume unafanana na mama mzazi? Mtoto wa kiume unagombaniwa na wasichana kwenda "auti"?
Mtoto wa kiume ukiona picha yako inashindishwa kucha kutwa kwenye profile za wasapu za wasichana wako jua wewe ni mrembo tu, ni wa "shoo ofu" yaani kazi kazi hauiwezi, ukiona msichana amekuacha jua alikufuata kwa ajili ya sura uliyo azima kwa mama. Sisi wenye sura ngumu, sura zenye ukavu na zisizo vutia wasichana wanatupendea kitu[emoji121]tu.... Na wasichana hupenda kukutana na "sura ngumu" faragha muda wote na hayupo tayari kukupoteza uende kwa mwingine.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Nasikia wenye sura kama zetu ni watamu balaa.
OK, lugha ya kanda gani hiyo?Malkia
Hicho ni kisukuma (Kinyantuzu)OK, lugha ya kanda gani hiyo?
Yaani hiyo style ni tamu kinyama. Kumbe miti inafaidi aiseee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwenye maeneo ya huku ngole ni nyoka wa kijaniHicho ni kisukuma (Kinyantuzu)
Ngole wa ntuzu,
Enzi zile za ufalme , mke wa mfalme alikuwa akitukuzwa kwa kuitwa Ngole (Malkia).....
Umeelewa??