ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Moud kauelezea vizuri maaKuuliza sana ni kutaka kujua maa
Uji wa mchele, ule mweupe kisha mzito. mara nyingi ni wamoto sana. Kumbe huwa unaunywa eeeh!!?
Moud kauelezea vizuri maaKuuliza sana ni kutaka kujua maa
Uji wa mchele, ule mweupe kisha mzito. mara nyingi ni wamoto sana. Kumbe huwa unaunywa eeeh!!?
NiombeeeMie pia nimekiiba tu, muombe mwenye nacho.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila uji wa mchele huwa haupoiUji sharti uwe wa motoooo, ili usisimue utumbo
Niuzie[emoji3] [emoji3]Mkuu mimi pia nakipenda kiazi cha kwenye avatar yangu[emoji39] [emoji39]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu umekiiba kiazi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Niuzie[emoji3] [emoji3]
Niko poa, niambieSijambo moud uko poa?
Hahahahaha, ujiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woiiii
Hapana siunywi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka kwenye maji utapoa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila uji wa mchele huwa haupoi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] acha wiziNdiyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] uji wa chumvi mwaupenda sanaMoud kauelezea vizuri maa
Mkuu, wengine akili zetu uwezo wake unaishia kwenye likes tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani nyie mnakaaga hichi chumba hata hamtoki humu...hebu nendeni chumba hiki mkashangae kidogo vipaji na uweza wa maraia genius. Ingia hapa uongeze kitu muhimu akilini.
Ingia hapa Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa
Pigeni na likes hapa kwanza.
Hapana!! Naamini kichwa chako wewe mkuu ni zaidi ya kuvalia helmet na kubonyezea likes tu...! Huwa Nakukubali sana basi tu.Mkuu, wengine akili zetu uwezo wake unaishia kwenye likes tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bandiko lako ni zuri, zito, lililofanyiwa utafiti wa kina na lenye kuelimisha sana. Asante na hongera sana mkuu.
Ukipoa haufai maana unakuwa kama maji[emoji3] [emoji3] haunyweki. Jitahidini muwe mnaunywa ukiwa moto[emoji3] [emoji3]Weka kwenye maji utapoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mweupe mzito wenye chumvi wa motoo [emoji91][emoji23][emoji23]Hahahahaha, ujiiii