Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu, wengine akili zetu uwezo wake unaishia kwenye likes tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Bandiko lako ni zuri, zito, lililofanyiwa utafiti wa kina na lenye kuelimisha sana. Asante na hongera sana mkuu.
 
Hapana!! Naamini kichwa chako wewe mkuu ni zaidi ya kuvalia helmet na kubonyezea likes tu...! Huwa Nakukubali sana basi tu.

Twendeni na kule siku moja moja tuupe ubongo chakula yake. Maandishi.

Vipi umeipitia? Maoni yako sijayaona kule mkuu? Ahahaha.

Shukrani kwa compliment mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…