Hadi unaona raha ya kuolewaKweli tena, kuna wamama wanapenda kuona wake wa watoto wao wanang'ara muda wote, wasiwe na purukushani purukushani, ili mradi jikoni aingie + usafi.... Hapo ataona mwanae anafaudu sana....
Yaani raha sana...Hadi unaona raha ya kuolewa
TrueSharing is caring
Wewe nu mtumishi, tunatarajia kupata neno toka kwako lakini kila siku unabadirika unachukua tabia za hapa!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kumbuka vizuri
Dah!! Ngoja nirudie utumishi wangu aisee..Wewe nu mtumishi, tunatarajia kupata neno toka kwako lakini kila siku unabadirika unachukua tabia za hapa!!!!
Utapata likes kwa masharti mepesi sana, kiasi cha wewe kutupia post na kugonga likes za wadau hapaWazee wa likes habari ya jioni, nimeijia likes[emoji39] [emoji39]
Rudia utumishi, kama unatamani uji wa mchele niambie mimi tu nitakuletea mahali ulipo, siyo kila mmoja ajue[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Dah!! Ngoja nirudie utumishi wangu aisee..
Asante.Rudia utumishi, kama unatamani uji wa mchele niambie mimi tu nitakuletea mahali ulipo, siyo kila mmoja ajue[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Siasa za mbele kamera tu. Wenye kamera wakimchoka naye anachokaIsiwe mbwembwe,hlf aanze kuleta mapicha picha baadae
Kwani mchana viazi huwa haviliwi?Wewe, mchana huu ujue
Hahahahaha!!!! Hata sijuiKwani mchana viazi huwa haviliwi?
Wana siasa ni pasua kichwa, acha tulambe likes tupitishe siku. Lakini mzima consuelaWanasiasa wanajijua wenyewe na mambo yao.