mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mambo pyaar habari za usiku huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo vipi mkuuUjii(in kurya voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124]
HakikaManeno mazuri ni sadaka....
[emoji23][emoji23][emoji23]endeleeni kuutamka tu huo uji,,, nasubiri mtu autamke kwa lafudhi ya kikurya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shwariiii....za kwakoMambo vipi wadau wa likes
Kama kawaidaLikes zinaendelea kutolewa
Tupo poa mkuu,, hope siku yako ilikuwa njema piaHope wote mko poa
MkubwaUsiku unakua
Haitabiriki...Naona safari ya England njia nyeupe to final kama watakaza kidogo
WaoooooTilapia, MwanzaView attachment 803259
Duuu, huyo mama naye atakuwa ni fungu la kukosa. Aseee. Sijawahi sikia hii [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji125] [emoji125] kuna wamama wengine wanapenda muda wote mtoto wake wa kiume kama yupo home na mke wake muda wote wawe chumbaniiiii... Utakuta mmama wa watu yupo sebuleni kajilaza hataki cha tv wala redio.... Anasikilizia kelele na miguno ya watoto wake wanavyo chimba viazi pacha. Mtoto wa kiume ukitoka tu utasikia "kama babaako tu" lionee... Mke akitoka anaenda jikoni utasikia "pumzika ntawapikia chakula anacho kipenda baba yenu akitoka kwenye kazi ngumu"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rip my lovely mama. Ungekuwepo ungeinjoi sana kwa jinsi mwanao nilivyo na uwezo wa kumlisha parachichi mkweo bila kuchoka.
[HASHTAG]#NAKUPENDA[/HASHTAG] SANA MAMA, MIAKA 20 IMEPITA NAHISI KAMA NI JANA TU. HUKU UMEACHA CHUMA CHA BELA MITWA#
Mkuu kwema habari za masiku tele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu anakuwa na makusudi hata kwa watu kama sisi...Asante Mungu ulipona, tusingepata mwandiko kama huu...
Mkuu moud niajeMchungaji chunga kondoo wa bwana
Sina tatizo, maana sina makuu miye. Akileta viazi pacha nakula, akileta konokono pia nala, usimtishe mdada wa watu[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umesema ahsante??? Mzee wa pwani unamjua au unamsikia??? Shauri yako....