Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL

Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?
 
Yusuph Manji akubali kurudi Yanga atanguliza milioni 400 kwaajili ya usajili Pesa hizo zime wasili klabuni hapo siku ya jana

Yanga itatakiwa kutumia pesa hizo kufanya usajili ambapo ni pamoja na kuwaongezea mikataba wachezaji wao ambao ni Yondani Mahazi Mwashuya nawengine ambao mikataba yao imekwisha
[emoji471][emoji471][emoji125][emoji125]
 
IMAGINE
Upo ukweni, usiku ukataka kwenda uwani na ndani hakuna umeme sasa unajaribu kupapasa ukuta kuelekea mlangoni, kwa bahati mbaya unagonga vyombo visufuria na vibakuli vya bati vinapiga kelele, wakati unajaribu kuvikusanya anatokea MAMA MKWE anakumulika na tochi anakukuta una sahani mkononi anasema BABA kama hukushiba ungeniambia....
 
Kombe la Dunia la kuvutia zaidi nyakati hizi linaingia hatua ya robo fainali. Hapa tunaangazia tunayotarajia kwenye mechi nne zitakazoamua atakayeingia nusu fainali ikiwemo mfaransa anayeipenda Uruguay lakini hana budi kuwatema nje....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huyo mama mkwe analala macho juu juu...???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…