Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Itakuwa wanadraw pesa baada ya kuwinKumekuwa kimya hapa. Ni mechi ya kombe la dunia ama? Wenye mikeka yao matumbo moto [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani mechi imeshaisha tayari?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Itakuwa wanadraw pesa baada ya kuwin
##mudanaounakimbiahatari##
Mechi ya kwanza yaanza saa 11 jioni, muda ndo huu.Kwani mechi imeshaisha tayari?
sawasawa..Nathamani ya juu kama gari la Hummer
duh!Mechi ya kwanza yaanza saa 11 jioni, muda ndo huu.
Ya pili saa 3 usiku....
Wanaweka mikakati jinsi watakavyodraw pesa.[emoji23][emoji23][emoji23]
inaelekea jioniIjumaa
Uruguay lazima achezeeFrance vs Uruguay