myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mwenye Enzi Mungu alichukua siku nzima kumuumba walahi uwiii![emoji106][emoji106]
We acha tu!Aliwaza nini sijui huyu..[emoji23]
Hahahahahaha! Jamani....Dogo amekuchemshisha injini ama?
Anaimba muziki wa aina gani huyu dogo?Sio kingine rafiki...Uimbaji wake tu...Anafanya vizuri kwakweli.
Sana!Usiku wa raha
Anaimba muziki wa aina gani huyu dogo?
Aitwa Goodluck GozbertAnaimba muziki wa aina gani huyu dogo?
A God sent walahiAitwa Goodluck Gozbert
Aimba nyimbo za injili
Pia ni mwandishi mzuri sana wa nyimbo za hawa wana bongo fleva.....i.e Mo music
Ni producer.....Roll pop.
HahahahaDogo amekuchemshisha injini ama?
KabisaaA God sent walahi
Yaani huyuHahahaha