myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Yeaaa, hatuna budi kushukuru, ni wengi walitamani kuwepo dunia hii lakini hatupo nao...Wengi walitamani kuwa nafasi uliyopo lakini haikuwa hivyo...Basi ni vyema tumshukuru Mungu kwa kile tulichonacho kwa maana mimi/wewe sio bora/mtakatifu kuliko yule...Ni mapenzi ya Mungu.....View attachment 803923 Huu uwimbi umenigusa sana!
Kwa kweli sina la kumrudishia Mwenye Enzi Mungu kwa wema na rehema zake juu ya maisha yangu walahi!
Bali ni sifa na shukrani!
Hahahahaha!Mwenye Enzi Mungu alichukua siku nzima kumuumba walahi uwiii!
MarahaUsiku wa raha
[emoji23][emoji23]Maraha
Eti eee hahahahah team franceWametangulia kwa baiskeli ya miti
Kama ni mwanamke unakuwa na kiuno feni, kama ni mwanaume nguvu za kiume zinakuwa maradufu.....Mnyama Simbaaaaaaaaaa.Hivi likes kazi zake hasa ni zipi? Mfano ukipata nyingi sana inakuwaje..?
[emoji101]Eti eee hahahahah team france
Brazil nao soon out
Duh !!!A God sent walahi
True!Yeaaa, hatuna budi kushukuru, ni wengi walitamani kuwepo dunia hii lakini hatupo nao...Wengi walitamani kuwa nafasi uliyopo lakini haikuwa hivyo...Basi ni vyema tumshukuru Mungu kwa kile tulichonacho kwa maana mimi/wewe sio bora/mtakatifu kuliko yule...Ni mapenzi ya Mungu.....
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Last seen 2017 MayHahahaha
True!
By grace of the Almighty One Supreme Creator walahi
Duh!!!Mwenye Enzi Mungu alichukua siku nzima kumuumba walahi uwiii!