Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee Saidi TANU Kamtawa ingawa historia ya Uhuru huwa haimtaji taji lakini alikuwa ni mtu muhimu sana wakati huo, maana alikuwa na uwezo wa kuhujumu harakati za Uhuru kwa kumuhumu mwalimu kupitia chombo alichokua anaendesha, lakini hakufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…