Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

f246410d3ecdc043b175612211b21caa.jpg
Wow, African angel, she is such a beautiful kadada[emoji102]
 
Maudhui ya uzi huu si hayo,
Labda kama wajumbe watakubaliana kuvunja ama kumshawishi mwanzisha uzi afute wazi lake!
Pia humu ndani kuna nyuzi nyingi nzuri tu,
Kuna majukwaa mengi mno kwa uchache kuna jukwaa la biashara,kilimo, ufugaji, doctor,siasa,siasa,history,elimu,intelligence,urembo,michezo na burudani,starehe nk.
Hili ni jukwaa la chitchat.
Uzi unafaa ..washauriwe makapuku
 
Back
Top Bottom