Make upWow, African angel, she is such a beautiful kadada[emoji102]
Hujambo mtoto mzuriLeo nimekukubali,kazi nzuri sana...hongera kwa kukaa humu
[emoji102]Make up
Unasemaaa??Mimi sina hela hafu sina akili naomba uanze kuniogopa kabisa.
Muulize hilo jiko la mkaa au gesi?[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]carbamazepine naomba unisaidie kujibu maana swali langu ni lako.
Hahaa aiseehNawaogopa wanaume wasio na pesa alafu hawana akili on top of that ni arrogant! Hiyo ni lethal combination
Umenichekesha eti mapua ya kiafrica mapana3. Awe na pua ndefu ndefu kidogo, sio yale mapua ya kiafrica mapana kama nini sjui....Awe na kapua kadogo dogo hivi karefu
Kama ya wolper2. Awe na macho ya kusinzia flani hivi.....Ya kubembeleza....Kama kala kungu
Hahaa kumbe ndo zako hizo??Anataka kuwinda
Japo changamoto ninayopata ni id zao wameficha jinsia.
Sasa hapa nipo naangalia mwandiko na wanavyoshika pen nijue ni ke o me
Ndio hivyo maana inabidi nijue nani yupo upande wanguUnasemaaa??