Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Biashara ya usafiri wa anga ni mojawapo ya biashara ngumu kabisa na mashirika mengi (hasa haya ya Kiafrika) huishia kula hasara. Inabidi kujifunga vibwebwe hasa kama kweli tunataka kuona siku Air Tanzania inajiendesha kwa faida...
Kiki...Kila mtu anatafuta kiki ili aonekane yeye ndo anachapa kazi zaidi. Ila ukiangalia vizuri hakuna mwenye mkakati endelevu na mwenye maono. Tumbo - kiungo hatari kabisa mwilini !!![emoji38] [emoji38] ninja ni noma sana na hilo vazi lake
Ni kweli kabisa......kwema Bro sijui kwa upande wako huko?Kiki...Kila mtu anatafuta kiki ili aonekane yeye ndo anachapa kazi zaidi. Ila ukiangalia vizuri hakuna mwenye mkakati endelevu na mwenye maono. Tumbo - kiungo hatari kabisa mwilini !!!
Kwema lakini?
Huku salama kabisa. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ni kweli kabisa......kwema Bro sijui kwa upande wako huko?
Hahah! MkuuMajukumu gani ya usiku wa manane? Ulienda kukorogeshewa uji ama?
Hii ni project ya Airbus "BelugaXL" inayolenga kutengeneza cargo plane yenye uwezo wa kusafirisha ndege nzima ikiwa disassembled.Wanatarajia kuirusha kwa mara ya kwanza this summer, probably end of Jully.Tumeagiza na hili dude mkuu?
Linatua lini?
Kwema mkuu..baridi tu kipindi hiki.kwako jeSam Mangwana na sauti yake ya puani...
Kwema jirani?
Wenyewe wameweka hivyo$239 M?
Ndiyo bei yake. Nilikuwa nawaza. Ni mahela mengi sana. Anyway. Vipaumbele, maono na legacy za watu hizo !!!Wenyewe wameweka hivyo
Aisee. Wenzetu hawa wako mbali. Wanamjibu Mrusi na lile liAntonov lake linaloweza kubeba mavifaru na mazagazaga mengine kwenda vitani?Hii ni project ya Airbus "BelugaXL" inayolenga kutengeneza cargo plane yenye uwezo wa kusafirisha ndege nzima ikiwa disassembled.Wanatarajia kuirusha kwa mara ya kwanza this summer, probably end of Jully.
tuna safari ndefu...Ndiyo bei yake. Nilikuwa nawaza. Ni mahela mengi sana. Anyway. Vipaumbele, maono na legacy za watu hizo !!!