Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hoja hiyo imeelezwa vema na nguli mmoja aliyepata kuongoza ATC baada ya kuachana na EA Airways. Nguli huyo Mhandisi mbobevu (sitamtaja jina) anasema adui namba moja wa biashara hiyo ni siasa. Sitaongea mengi ngoja tulambe likes siku iende
 
Kiki...Kila mtu anatafuta kiki ili aonekane yeye ndo anachapa kazi zaidi. Ila ukiangalia vizuri hakuna mwenye mkakati endelevu na mwenye maono. Tumbo - kiungo hatari kabisa mwilini !!!

Kwema lakini?
Mashindano ya kutafuta Kiki, kwakuwa aliyepita alikuwa na skafu, naye amekuja na mbinu yake ya kuonyesha bendera.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kwa mnaopenda mchicha na mboga mboga za Dar. Hili hapa hitimisho la utafiti mpya kabisa kuhusu mboga zenu hizo.
View attachment 805922
Mkuu ni kweli hilo, bonde la msimbazi limerundikwa kila aina ya sumu za viwanda, hata hivyo tutaendelea kupambana na hali zetu tukipata mboga toka mabonde mengine ingawa kwa ulaji wa migahawani hakuna uhakika wa usalama wetu. Ni Mungu ndiye ajuaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…