Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiona baba yako anakusumbua na kukuwekea masharti mengi nyumban kwenu mfukuze mwambie akaishi kwa baba yake maana wewe hapo kwa baba yako

[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Halafu baba ako mwenyew ukute ndio kama huyu mzee Andjul,, kabla ya kujbiwa utakutana na shwaini km mia hv [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaaaa wapi. Hata home naliaga tu. Nifiwe na mamangu nisilie kisa mi mwanaume? Uanaume haupimwi kwa kulia/kutolia !!!
Lakini hapa Dar nadhani hata wanawake hawana machozi, maana hata kwenye vilio hukodishwa vikundi maalum vya kwenda kulia kilioni ili kuleta amsha amsha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kwahiyo mkuu jana ulimwaga chozi la kutosha ?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…