Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*West Ham Sign[emoji871] Wilshere[emoji294] On Free Transfer*

West Ham have signed Jack Wilshere on a free transfer, the club have confirmed.

Manuel Pellegrini is understood to have signed off on the move for the 26-year-old, who has signed a three-year deal at the club.

Wilshere, who has been capped 34 times by England and is a boyhood Hammers fan, said upon the completion of his move, “It feels good, it feels special. Many people know that I’ve had a special bond with this club growing up. People will have seen the picture of me in a West Ham shirt and I’ve got good memories of my childhood supporting West Ham, watching them at Upton Park. It feels good and of course my family and a few of my friends are West Ham fans so everyone’s buzzing.”
 
Heee hapa sikubalian nawe daah nishajaribu mara nyingi kusali kwa walokole ila ikifika muda wa kulia nashindwa kabisa
Madame!! Hii kitu acha kabisa...Uwapo kanisani hasa ule muda wa kuabudu unapowadia, halafu ukajiachilia kabisa, sio kwamba machozi unayatafuta, hapana! Yaani ukishazama kiroho kabisa muda ule machozi yanabubujika pasipo kuyatafuta...Muda huo unatamani ndo uwe mwisho wa dunia kwa maana unakuwa na uhakika wa kunyakuliwa...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Taswira binafsi ni jinsi mtu anavyojifafanua mbele za watu. Ni picha ya mtu binafsi anayoionyesha mbele ya watu wengine. (mimi ni nani?).
Taswira binafsi inampa mtu uwezo wa ktoa, kupokea na kukabiliana na changamoto za kimaisha.
 
Taswira binafsi inayojengwa kwenye misingi ya woga, wasiwasi, kutokujiamini n.k huonyeshwa kwa hisia hasi.
Taswira binafsi iliyojengwa kwenye misingi ya upendo, heshima, imani, uelewa n.k huonyeshwa kwa hisia chanya.
 
Vitu Vinavyoathiri Taswira Binafsi

Kuna viti vitatu vikuu vianavyoathiri taswira binafsi ya mtu.
1) Mawazo na hisia wakati wa utoto.
Katika miaka saba ya kwanza, watoto hujenga mfumo wa kuthaminisha na ambao huongoza maisha yao yote.
 
Watoto hupenda na kutafuta mafundisho mazuri, mawazo mazuri, hisia nzuri na mienendo chanya.
Kwa bahati mbaya, hawana kinga dhidi ya mawazo mabaya, mafunzo mabaya na mienendo hasi.
Kwa kutokuwa na uwezo wa kuzia maovu, mawazo na matendo ovu huwatawala na kudumaza ukuaji wa taswira binafsi iliyo bora.
 
2) Mazingira
Mazingira yana mchango mkubwa sana, kwani ndio chanzo cha uthibitisho wa yote mtu aliyojifunza utotoni.
Mtu anapokuwa katika mazingira fulani kwa muda mrefu huchukua/ kufanana na tabia za mazingira husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…