Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3) Makundi.
Makundi huleta ufanano. Makundi chanya husaidia kukuza taswira binafsi kwa; kuchambua mambo kwa kina, kukuza uelewa, maana n.k
Makundi hasi hudumaza taswira binafsi ya mtu kwa; kuzuia kutafuta habari, kuzuia kufikiri, kusistiza "haiwezekani" n.k.
 
Is this a book?
 
Ati mlisema mtu huacha kuangalia juu ndege ikipita akiwa na miaka mingapi? [emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna miaka, angalia tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mbona jana tulikuwa busy watu wa kila rika tukiangalia Boeing ikitua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kama mtu asipochukua majukumu yake, kamwe hawezi kubadili hali aliyonayo hata kama anaichukia sana. Mfano, mtu hawezi kupata mafanikio ikiwa ataacha kufanya kazi kwa bidii na kubaki kuilaumu serikali tu.
 
2) Kukimbia changamoto.
Mtu anapokumbana na changamoto, kuna machaguo matatu; kupambana, kusahau, na kukimbia.
Mtu mwenye ufinyu wa taswira huamua kukimbia changamoto husika. Mfano, kijana anapoamua kukimbia nyumbani baada ya kutofautiana na wazai/ walezi.
 
Mtu ataimarika kama tu! Atakabiliana na changamoto husika. Kukubali na kukabili changamoto huleta ujasiri na imani na kumwezesha mtu kukabliana na changamoto nyingi zaidi.
Je mtu atakimbia chanagamoto ngapi ili afanikiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…