[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulia ww,, njoo na chips zako zle unazoandaa pale nyegezi stand na kule airport[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah mtu mwenye jezi zakeeeeeee
Zitawatosha??? Halafu leo nimeona vidole vya miguu....Umeviona?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo na zile chips
Hahah!! Na Mimi niliandaliwa tu
Leo sijazoom ngoja nirud kazin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zitawatosha??? Halafu leo nimeona vidole vya miguu....Umeviona?
Ungefuata nyayo za kakaako Mwinyi Kazimoto mida hii nawe ungekuwa unakula bata wa soka [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilishaachana nalo mzee sahivi napiga la kitaa tu kama mazoezi mana kule nilikua kama napoteza muda tu siku zinaenda nafasi finyu
Usisahau pia naandaaga pale makoroboi na kirumba sokon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulia ww,, njoo na chips zako zle unazoandaa pale nyegezi stand na kule airport
Hahah!!!Mkuu umezinduliwa ili ukamwage uji wa mchele lakini lanchi yako inatupa mashaka kama kweli utatimiza lengo la aliyekuzindua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Watu wamepakwa mafuta aisee[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] Kuna wahubiri wana upako wa ajabu sana. Kama huyu wa jana. Yaani rapture ingetokea humo humo kanisani kabla sijaja kwenye uzi huu aisee ningeenda kabisa. Yaani kila neno analolisema utafikiri anakuongelea wewe. Mungu ni Mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahah!! Sikuwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa sokota,, tyl umeona fursaMkuu umezinduliwa ili ukamwage uji wa mchele lakini lanchi yako inatupa mashaka kama kweli utatimiza lengo la aliyekuzindua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Imejaa vioja[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2], ila Tanzania hii jamani...dah!
Kuna nshomile mmoja mwanamke alikua anapenda kurudi home usiku sasa siku moja vibaka wakamzingira na kumuibia vitu ee bana alipiga kelele wananiibiaaaa dhahabu zangu,weee hereni za bei mbaya hizo,uwiii mkufu wangu gramu kubwa,mama weeee kibanio changu cha elfu kumi,uwiii viatu vyangu nimenunua juzi tu tena kwa oda toka kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majiran badala ya kutoka kumsaidia wakabaki wanacheka kwa maneno ya huyo mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nshomile kwa sifa wanaongoza hawaKuna nshomile mmoja mwanamke alikua anapenda kurudi home usiku sasa siku moja vibaka wakamzingira na kumuibia vitu ee bana alipiga kelele wananiibiaaaa dhahabu zangu,weee hereni za bei mbaya hizo,uwiii mkufu wangu gramu kubwa,mama weeee kibanio changu cha elfu kumi,uwiii viatu vyangu nimenunua juzi tu tena kwa oda toka kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majiran badala ya kutoka kumsaidia wakabaki wanacheka kwa maneno ya huyo mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzinduaji ni star hapa JF ndo maana ulivuma sana. Watu tulikula na kunywa fo alomosti e wholo wiki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usisahau pia naandaaga pale makoroboi na kirumba sokon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msosi wa watu wanne hivi hapo. Namaliza peke yangu huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaridhika na hii lanchi hasa kutoka kwako bro - bingwa wa kukoroga uji. Ni appetizer hii au ndo msosi wenyewe? Au uko Dar bro?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 806101
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nshomile kwa sifa wanaongoza hawa
Ndiyo maana mlo wako umeleta utata mkuu. Safari nyingine jitahidi uwekepo na kaugali au mihogo angalau [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]