Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alikulia katika familia ya kimasikini, iliyokuwa inamiliki bucha na ranchi ya kufugia wanyama.

Kabla ya kuwa rais, wadhifa anayoishikiliwa tangu Februari 19, mwaka 2015, Rais Kolinda alishikilia nyadhifa mbalimbali ndani na nje ya Serikali ya Croatia, ikiwemo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa NATO, aliyeshughulika na masuala ya kideplomasia.
 
Huyo ndiye Madam Rais, Kolinda Grabar-Kitarovic, mwanamama aliyebeba siri ya mafanikio ya Timu ya Taifa ya Croatia, ndiye anayewapa msukumo wa kuvunja rekodi iliyowekwa na kizazi cha dhahabu cha kina Davor Suker na wenzake, kwenye fainali ya Kombe la Dunia 1998, huko Ufaransa.
 
Usishangae kuona Croatia ikitinga fainali pale Russia. Lakini pia usishangae pale utakaposikia imebeba ndoo. Nasema usishangae maana wahenga wa Ulaya walishasema ‘nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio yupo mwanamke shupavu. Nyuma ya Croatia na ndoto zao, yupo Rais Kolinda Grabar-Kitarovic.
 
Yaani basi tu...
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
FAINALI za Kombe la Dunia kule Russia zimebakiza mechi nne tu kufika tamati na klabu za Ligi Kuu England zimeshaanza kujifua kwa ajili ya msimu ujao.

Kuna wiki tatu baada ya fainali za Russia na mwisho wa kufanya usajili, hivyo jambo hilo linafanya kuwapo kwa biashara zinazofanyika kimyakimya na huenda ile kipenga cha kumaliza fainali za Kombe la Dunia kikipulizwa tu, kuna mastaa wataibukia kwenye timu nyingine tofauti na klabu zinazowamiliki sasa.
 
Wayne Rooney hakuwapo kabisa Russia, hivyo yeye amekamilisha uhamisho wake wa kwenda DC United ya Marekani, wakati Liverpool, Manchester United na Arsenal zenyewe zipo bize kwenye usajili na zitakuwa siriazi zaidi wakati Kombe la Dunia litakapofika tamati.

Dirisha la usajili linafungwa Agosti, lakini dili hizi zinaweza kukamilika Kombe la Dunia tu litakapokwisha.
 
Aisee [emoji125][emoji125]
 
Cristiano Ronaldo kwenda Juventus

Miaka tisa ya Ronaldo kuwa kwenye kikosi cha Real Madrid inaonekana kuelekea ukingoni na mpango unaotajwa sasa ni kuhusu staa huyo kwenda kujiunga na Juventus.

Yanaelezwa mengi, lakini pengine hadi fainali za Kombe la Dunia zitakapofika tamati, basi mpango mzima wa kuhusu uhamisho wake utakuwa umeshaeleweka. Uhamisho huo wa Ronaldo kwenda Juventus kama utakamilika, basi kinachoweza kutokea Neymar au Eden Hazard wanaweza kwenda kuziba pengo lake pale Santiago Bernabeu.
 
RIyad Mahrez kwenda Man City

Manchester City ipo kwenye hatua za mwishoni kabisa kumnasa mtu wao waliyemsaka kwa muda mrefu sana. Winga huyo wa Leicester City, Riyad Mahrez anatarajia kusaini kuichezea Man City kabla ya kumalizika kwa wiki ijayo. Jambo hilo linachochewa zaidi na nguvu anayotumia staa huyo wa Algeria katika kulazimisha uhamisho wa kwenda kujiunga na Man City na wiki iliyopita kulikuwa na ripoti kwamba ameshafanya hadi vipimo vya afya. Staa huyo anaweza kuibukia Etihad kwa ada ya Pauni 60 milioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…