[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Na gundi za JojoMbona kama daftari langu hili hahahahah
hujambo...Morning
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah sasa hivi naziepusha sana
Hewalaaa nakuwaitHahah!! Ngoja najua pakukutafuta tuyaongee haya vizuri
Kulikua na wale washambuliaji wa nigeria mwanko kanu,taribo west,rivaldo,ricardo etc yaan jojo zililika ukimpata ronaldo bahati kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Na gundi za Jojo
Kumbe tupo wengi, Ronaldo na Zizzou sijawajua leo[emoji23]
Basi mie nilikuwa na bahati;, nilikuwa kila nikifungua nakutana na Ronaldo, Roberto,Zidane..Kulikua na wale washambuliaji wa nigeria mwanko kanu,taribo west,rivaldo,ricardo etc yaan jojo zililika ukimpata ronaldo bahati kweli
[emoji125][emoji125]Hewalaaa nakuwait
Tulikua tunazicheza tunazipanga nyiingi mmoja mmoja anapiga kwa mkono itakayofunguka ni yakeBasi mie nilikuwa na bahati;, nilikuwa kila nikifungua nakutana na Ronaldo, Roberto,Zidane..
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Yeah! Nakumbuka pia nimeicheza hiyo..Tulikua tunazicheza tunazipanga nyiingi mmoja mmoja anapiga kwa mkono itakayofunguka ni yake
Morning bro, I hope you are doing great!Good Morning