Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kulikua na wale washambuliaji wa nigeria mwanko kanu,taribo west,rivaldo,ricardo etc yaan jojo zililika ukimpata ronaldo bahati kweli
Tulikua tunazicheza tunazipanga nyiingi mmoja mmoja anapiga kwa mkono itakayofunguka ni yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew mhenga kumbe,,, na mpira wa visoda utakuwa ulicheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…