Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baba lao. Airbus 380. Siku tukiliagiza hili itabidi tutangaze wiki nzima ya mapumziko ya kitaifa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
IMG-20180710-WA0026.jpg
 
Methali zimekwisha muda wake wa matumizi.
Mfano:
1. Mwenzako akinyolewa tia maji.
-Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.

2. Barua ni nusu ya kuonana.
-Siku hizi watu wanaonana kwa WhatsApp. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.

3. Akili ni nywele.
-Vipi kuhusu Mawigi?

4. Mchagua jembe si mkulima.
-Siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi.

5. Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe.
-Siku hizi unaweka alarm mwenyewe unaamka hausubiri kuamshwa na mtu.

6. Polepole ndio mwendo.
-Siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki.

Hatupendi mambo ya kizamani...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom