mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
100%sina hakika..
HahahahaAmun Ra
Hila usifikishe kwa goddess haya mambo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
True jamani jamani!Tucheke na kufurahi wapendwa. Ikitokea mtu anakwazika anasema tunarekebishana. Ndicho kilichoufikisha uzi huu hapa...Yote kwa yote TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
DuhBaba lao. Airbus 380. Siku tukiliagiza hili itabidi tutangaze wiki nzima ya mapumziko ya kitaifa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
View attachment 806540
Yaani wewe!Amun Ra
Hila usifikishe kwa goddess haya mambo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna kitu kinacho mshinda binadamu!Baba lao. Airbus 380. Siku tukiliagiza hili itabidi tutangaze wiki nzima ya mapumziko ya kitaifa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
View attachment 806540
Kweli kabisa mkuu kwa hesabu hizi kama kweli big up JPM aongeze nyingine mbiliShida yetu kubwa ni ufisadi na ukosefu wa uzalendo. Hilo tu....
[emoji23][emoji23][emoji23]Methali zimekwisha muda wake wa matumizi.
Mfano:
1. Mwenzako akinyolewa tia maji.
-Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.
2. Barua ni nusu ya kuonana.
-Siku hizi watu wanaonana kwa WhatsApp. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.
3. Akili ni nywele.
-Vipi kuhusu Mawigi?
4. Mchagua jembe si mkulima.
-Siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi.
5. Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe.
-Siku hizi unaweka alarm mwenyewe unaamka hausubiri kuamshwa na mtu.
6. Polepole ndio mwendo.
-Siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki.
Hatupendi mambo ya kizamani...