myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu ni mwema sana kwetu hili ni la kupongezaSwafiiii sana walahi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tucheke na kufurahi wapendwa. Ikitokea mtu anakwazika anasema tunarekebishana. Ndicho kilichoufikisha uzi huu hapa...Yote kwa yote TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Safi my dearHahahaha
Vipi mkuu?
Ipo siku tutapata hii Hata mwezi mzima tutasherekeaBaba lao. Airbus 380. Siku tukiliagiza hili itabidi tutangaze wiki nzima ya mapumziko ya kitaifa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
View attachment 806540
Shimba inabeba abiria wangapi hiiBaba lao. Airbus 380. Siku tukiliagiza hili itabidi tutangaze wiki nzima ya mapumziko ya kitaifa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
View attachment 806540
Well saidMungu ni mwema sana kwetu hili ni la kupongeza