Wewe upo kundi gn rafiki?*MATUMIZI MATATU YA FEDHA*
Habari rafiki leo natamani kuzungumza nawe kidogo juu YA matumizi 3 ya Fedha. Duniani binaadam tumegawanyika kwenye makundi matatu katika matumizi ya Fedha.
*1.WANAOPOTEZA FEDHA*
Kuna watu wanalalamika maisha magumu Lakini wao nimahodari wakupoteza Fedha zao hasa wanapozishika, hawa niwale ambao ananunua kila kinachopita machoni mwake, anatoa Offer kwa kuwaridhisha rafiki zake, hana bajeti ya matumizi yake.Hawa huwa kila siku wanafulia
*2.WANAPATA FEDHA NA WANATUMIA YOTE KESHO WATATAFUTA TENA*
Hawa kwa lugha rahisi niwale wanajiita tumia fedha ikuzoee au wachumia tumbo anapata fedha anatumia yote kesho anatafuta tena, haweki akiba wala hatoi sadaka,wala hawekezi.Hawa huwa maisha yao niyautumwa .
*3.WANAPATA FEDHA KISHA WANAWEKEZA*
Kundi la tatu ni watu ambao wanatafuta fedha wanaipata, wanajiwekea akiba, wanatoa sadaka na inayobakia ndio wanaingiza kwenye matumizi yao ya msingi na lazima.
Hili ni kundi la watu ambao huwa wanafanikiwa sana.
Kweli.Mwenyezi Mungu twakuomba ijaalie siku hiiView attachment 805688
Mie nipo kwa wale wabahili[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe upo kundi gn rafiki?
Exactly,,, Hustle Hard
Pamoja...Wapendwa, kaweni na siku njema na wiki yenye mafanikio. Hata wenye matatizo - ya kiafya, kiuchumi, kijamii na mengineyo, msikate tamaa. Mungu Atawapigania. Barikiweni [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mie nipo kwa wale wabahili[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo vipi?Good Morning
Kweli Kabisa.ukiwa peke yako hautaheshimiwa...
ukiitwa bibi ya fulani utaheshiwa...
Bure Kabisa.ukiwa bila mke haina maana..
Nakusalimu..Hahah! Mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Redi hendedi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Polepole tu.Likes za jioni zinaendelea