[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanatangulia na baiskeli ya miti
Nmekuelewa Pyaar,,, shukrani sana[emoji120] [emoji120] [emoji120] ,,,japo haubet [emoji23]ila umenpa maelezo mazuri sanaNi hivi;
Nilisema 1st half under 0.5
Ina maana hiyo ni total goals kwa timu zote baada ya mchuano wa dakka 45...
Baada ya dakka 45 hizo wasipofungana =0:0 mkeka unakuwa umetick...
Endapo timu yoyote ile itafunga, let's say Ufaransa wapate goli 1, Belgium 0.. hapo mkeka unakuwa chanuuu.....(kwa kipindi cha kwanza)
**********************************
Endapo umeweka over 0.5 (first half...)
Magoli yapatikane kuanzia moja na kuendelea bila kujali magoli yote yamefungwa na timu moja ama wote...
Hawa Belgium wanataka kunilaza mapemaFrance 1-0 Belgium. Umeweka ngapi kwa Belgium ? Mpira haujaisha usiogope
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Wanatangulia na baiskeli ya miti
Una maanisha watapitwa kwa kasi ya pikipiki?Wanatangulia na baiskeli ya miti
Sawa mkuuMuda bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa Belgium wanataka kunilaza mapema
Maliwazo ya kujiliwaza[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Una maanisha watapitwa kwa kasi ya pikipiki?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umeruka kiunzi[emoji23][emoji23][emoji23]kamali dhambi