Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeona ee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona nilivyopewa ile shule juu ya Over na Under 0.5 kwenye betting tips??kabla ya hapo alisema km kuna mtu kaweka Under 0.5 basi mkeka umetik,, baada ya 1st half akasema mkeka umetik...

Game ya kesho mapema tu,, naomba anipe muongozo nitandaze mkeka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
KWENYE fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea Russia, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), limetenga fungu la pesa kuzigawia klabu zenye wachezaji wake kwenye michuano hiyo.
 
Kutokana na hilo, kwa hatua ambayo michuano hiyo imefikia sasa, nusu fainali, kuna klabu zitavuta mkwanja mrefu wa shirikisho hilo. Hizi hapa ndio timu kutoka kila ligi zenye wachezaji waliotinga nusu fainali ya Kombe la Dunia.
 
LIGI KUU ENGLAND

Ligi Kuu England ndiyo inaoonyesha kuwa na wachezaji wengi zaidi, huku Tottenham ikiongoza baada ya kuwa na wachezaji tisa ambao ni Hugo Lloris, Toby Alderweireld, Jan Vertonghen, Mousa Dembele, Danny Rose, Kieran Trippier, Eric Dier, Dele Alli na Harry Kane.
 
Manchester City ina wachezaji saba; Benjamin Mendy, Vincent Kompany, Kevin de Bruyne, Kyle Walker, John Stones, Fabian Delph na Raheem Sterling sawa na ilivyo kwa Manchester United, yenye mastaa saba pia ambao ni Paul Pogba, Marouane Fellaini, Romelu Lukaku, Phil Jones, Ashley Young, Jesse Lingard na Marcus Rashford.
 
Chelsea yenyewe ina wachezaji sita; Ngolo Kante, Olivier Giroud, Thibaut Courtois, Eden Hazard, Gary Cahill na Ruben Loftus-Cheek huku Liverpool ikiwa nao wanne; Dejan Lovren, Simon Mignolet, Trent Alexander-Arnold na Jordan Henderson na Leicester City ina wachezaji wawili, Harry Maguire na Jamie Vardy.
 
Timu za ligi hiyo zenye mchezaji mmoja mmoja ni West Bromwich (Nacer Chadli), Everton (Jordan Pickford), Stoke (Jack Butland), Burnley (Nick Pope) na Arsenal (Danny Welbeck).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…